Saturday, March 9, 2013
KAMA UNATAKA KUWA DJ MKUBWA HAPA NCHINI HII INAKUHUSU
ITCH DJ ACADEMY (IDJ)
ITCH DJ ACADEMY
PO BOX
DAR ES SALAAM
TANZANIA
TEL: + 255/ 0712 580 859
HII TAARIFA MAALUM KUTOKA TAASISI BINAFSI
AMBAYO ITAKUWA INATOA MAFUNZO MAALUM KWA WATU WOTE WENYE UMRI KUANZIA
MIAKA 18 AMBAO WANANIA YA KUWA MA-DJ MAARUFU HAPA NCHINI
KOZI TUNAZOFUNDISHA:
INTRODUCTION TO THE DJ INDUSTRY (KOZI YA 1)
1.Set up Machine
2.Mixer Operation
3.Pioneer Operation
4.Basic Mixing
5.Beat Count
6. Beat to Beat mixing
7.Acapella Mixing
Kozi hii mwanafunzi atajifunza kwa muda wa miezi mitatu (3)
ADVANCE TO THE DJ INDUSTRY ( Kozi ya 2)
1. Sound and Level
2. Turntable Operation
3. Perfect mixing
4. Scratching
5. Creative mixing and Techniques
Kozi hii mwanafunzi atajifunza kwa
muda wa miezi miwili (2) baada ya kumaliza kozi ya kwanza ya
Introduction to the dj I ndustry.
Kozi zote mbili Introduction to the dj industry na Advance to the dj industry zitafundishwa kwa muda wa miezi sita (6).
Fomu ni Tsh 10,000/= tu na utaratibu wa ada za kozi zote utapatikana kwenye form.
Walimu watakao fundisha ni DJ ZERO
DJ PQ
DJ D OMMY
Na wengine wengi
Mafunzo yataanza tarehe 4 feb 2013
Email : itchdjacademy@gmail.com
Mobile:0712 580 859
Labels:
news
| Reactions: |
Sunday, January 13, 2013
Monday, December 24, 2012
Monday, December 3, 2012
Thursday, October 25, 2012
P SQUARE WAMEKUA VERIFIED TWITTER
No one like you,beautiful onyinye,chop ma money hit makers hapa nawazungumzia Psquare leo wamekua verified twitter.
Kua verified ni kupewa umiliki halali wa account yako ambapo utagongewa muhuri utakao kutambulisha wewe.
Psquare wanaongeza idadi ya mastaa wa nigeria walio verified kufikia kumi.Kwa hapa bongo ni watu wawili tu ambao ni verified ambao ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tz mh Jakaya kikwete na mchezaji wa mpira wa kikapu Hasheem Thabeet..
----------
Sent from my Nokia phone
Kua verified ni kupewa umiliki halali wa account yako ambapo utagongewa muhuri utakao kutambulisha wewe.
Psquare wanaongeza idadi ya mastaa wa nigeria walio verified kufikia kumi.Kwa hapa bongo ni watu wawili tu ambao ni verified ambao ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tz mh Jakaya kikwete na mchezaji wa mpira wa kikapu Hasheem Thabeet..
----------
Sent from my Nokia phone
| Reactions: |
Thursday, October 11, 2012
K-LYIN AJIFUNGUA WATOTO MAPACHA
Taarifa za kuaminika zinadai aliyewahi kuwa miss Tanzania wa mwaka 2000 Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama k-lyn amejifungua watoto mapacha wote wa kiume.
Hongera k-lyn
source:leotainment
Hongera k-lyn
source:leotainment
Labels:
k-lyn
| Reactions: |
Subscribe to:
Posts (Atom)


